facebook likes

Tuesday, September 3, 2013

HAWA NDIO MABILIONEA 10 WANAOTIKISA BONGO

Said Salim Awadh Bakhresa.
KATI ya miaka ya 1960 hadi 1980, mtu kuwa tajiri alionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake alizimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi. Lakini kwa sasa mambo yamebadilika, taratibu sera za kibepari zinatawala, ujamaa unapewa kisogo.
SOMA ZAIDI..........

Wachimba migodi waanza mgomo A.Kusini

Mgomo huu unatishia kuathiri sekta ya madini nchini Afrika Kusini
Takriban wachimba migodi 80,000 wa dhahabu nchini Afrika Kusini wanatarajiwa kuanza mgomo kudai nyongeza ya mishahara.
SOMA ZAIDI.....

MWANAMKE ANASWA NA NGUO ZA JESHI LA WANAINCHI

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Saida Mohamed (30), mkazi wa Mwasonga Kigamboni, akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). 
SOMA ZAIDI.........

MAJAMBAZI YAENDELEA KUTIKISA JIJI LA DAR YAPORA NA KUJERUHI.



Kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na bunduki, wamefunga mtaa na kupora fedha na simu za kiganjani katika maduka 11 eneo la Mvumoni Madale, kata ya Wazo na Tegeta Kibaoni, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
SOMA ZAIDI.............

Hofu ya njaa nchini Zimbabwe

WFP linasema kuwa bei ya nafaka imepanda sana ikiwa moja ya sababu ya upungufu wa chakula
Shirika la chakula la Umoja wa Mataifa linasema kuwa zaidi ya watu milioni mbili nchini Zimbabwe wanakabiliwa na tisho la njaa katika miezi michache inayokuja.
SOMA ZAIDI.........

Misri yafunga vituo 4 vya televisheni

Jeshi linasemekana kudhibiti hali ya usalama Misri
Mahakama moja nchini Misri, imeamuru kufungwa kwa vituo vinne vya televisheni, ambavyo vimetuhumiwa kupendelea chama cha Muslim Brotherhood.
SOMA ZAIDI......

Joints Mpya Mbili Kutoka Kwa Ay Na Mwana FA Zitatengenezwa Na Huyu Producer

Binamu13.com imeripoti kuwa project mpya ya Ay na Mwana FA [ The Gladiators ] Itatengenezwa na producer mkubwa kutoka Kenya.
SOMA ZAIDI..........

Cover Art, Orodha Ya Nyimbo Na Link Ya Mixtape Mpya Ya Lil Wayne' Dedication 5' Ziko Hapa.

Muendelezo wa Mixtape za Lil Wayne Dedication Unaendelea na Sasa imetoka Dedication 5. Dj Drama producer wa Mixtape za Wizzy alisema mapema kuwa Mixtape hii itakuwa na Freestyles [Mitindo Huru] zaidi.
SOMA ZAIDI..........

Kanye West Alipwa Zaidi Ya Bilioni 4 Kufanya Onyesho Katika Harusi Hii, Aanza Kudondoshewa Lawama, Fahamu Sababu Hapa


'Kanye West akodishwa kutumbuiza katika Harusi' [One can hardly imagine this happenin] lakini hiki kitu kinawezekana kabisa long una mpunga wa kumtosha kufanya hivyo, and YES INDEED, kitu hiki kimemtokea rapa huyu mwishoni mwa mwezi ambapo alikwenda kufanya show katika Harusi huko Kazhakstan.
SOMA ZAIDI........

Mwanamke Wa Miaka 64 Avunja Rekodi Kwa Kuogelea Kutoka Cuba Mpaka Florida, Atumia Masaa 52, Amefanikiwa Baada ya Kujaribu Mara 35, Fahamu Zaidi hapa

Mwogeleaji mwenye umri wa miaka 64 kutoka Marekani, Diana Nyad ameweka rekodi mpya ya dunia katika kuogelea baada ya kufanikiwa kuogelea kutoka Havanna Cuba mpaka huko Florida Marekani.

SOMA ZAIDI..........

Tyler Perry Lays Hand on Bishop T.D. Jakes

Bishop T.D. Jakes & Tyler Perry at MegaFest 2013
If you’ve never been to a Pentecostal church than this photo and headline may need an explanation.

KISIWA CHA SAANANE CHATANGAZWA RASMI HIFADHI YA TAIFA


Kisiwa cha Saanane kimetangazwa rasmi kuwa Hifadhi ya Taifa kufuatia Tangazo la Serikali Namba 227 lililotolewa hivi karibuni.
SOMA ZAIDI.....

Producer Huyu Kutoka Afrika Mashariki Aliye Ibuka Kwenye Headlines Baada Ya Kutengeneza 'Hit' Ya T.I.

 

Ile theory ya kimtaa ya 'Everything is possible under the sun' imethibitika tena baada ya hatua kubwa aliyopiga artist kutoka Kenya, na kuweza kutengeneza ngoma kali ambayo ndani yake amesimama rapper wa kimataifa T.I, pamoja na Iggy Azalea
SOMA ZAIDI NA SIKILIZA.......

SHOCK IN NEW GUINEA : “Black Jesus” was castrated by an angry mob

An infamous Papua New Guinea cult leader known as “Black Jesus” was castrated by an angry mob after being hacked to death for killing young girls as sacrifices, reports said
.'"Black

Mmmh! Hivi Wema alimkosea nini Diamond??? Mbona “kamtaja” tena kwenye wimbo wake mpya???

Leo video ya muziki ya Msanii Diamond platnumz ya wimbo wa My Number one imetoka rasmi kwenye Television na mitandao mbalimbali ya kijamii na kusema ukweli ni moja ya video nzuri sana za muziki hapa nchini na sio siri kijana huyu wa bongofleva amefanya kazi kubwa sana na anastahili pongezi.
SOMA ZAIDI........

Microsoft Purchases Nokia's Phone Division For $7.1 Billion


Microsoft Purchases Nokia's Phone Division For $7.1 BillionMicrosoft and Nokia announced today that Nokia’s Devices & Services business; the part of the company that builds all Nokia’s phones (both smart and otherwise) is changing hands. 

RWANDA YAPANDISHA USHURU WA MAGARI YA MIZIGO YANAYOTOKA TANZANIA

RWANDA imeamua ‘kucheza rafu’ kwa kuanza kuhujumu Bandari ya Dar es Salaam, kwa kupandisha ushuru wa barabara kwa magari ya mizigo yanayotoka Tanzania pekee kuanzia Rusumo hadi Kigali, kutoka dola za Marekani 152 za awali, hadi 500.
  SOMA ZAIDI........

UNAMKUMBUKA TONG PO (MICHEL QISSI)?? BASI SURA YA YULE JAMAA ILIBADILISHWA KWA AJILI YA MUVI TU HII NDIO SURA YAKE KAMILI

HAPA KWENYE FILAMU YA KICKBOXING
ANGALIA PICHA ZAIDI.........

MESUT OZIL AVUNJA REKODI MBILI ZA KIFEDHA NDANI YA HISTORIA YA ARSENAL

Arsenal wamevunja rekodi zao za kifedha leo jumatatu baada ya klabu hiyo kukubali kulipa kiasi cha  £42.5million kumsajili kiungo  Mesut Ozil kutoka Real Madrid.
SOMA ZAIDI........

USAJILI WA FABIO COENTRAO KWENDA MANCHESTER UNITED WAINGIA ZENGWE DAKIKA YA MWISHO YA USAJILI - HATMA YAKE KUJULIKANA LEO

Usajili wa mkopo wa beki wa kushoto wa Real MadridFabio Coentrao kwenda Manchester United umeingia dosari wakati klabu hiyo ya England ikusubiri kujua kwamba nyaraka muhimu zilifika kwa wakati ili dili hilo kutibitishwa.
SOMA ZAIDI............

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...