facebook likes

Friday, August 16, 2013

NEWS:CHEKI HAPA NOMINEES WA TUZO ZA MTV VIDEO MUSIC AWARDS(VMA)



Yafuatayo ni Majina ya washiriki na wagombea wa
 tuzo tofauti za (MVA) yacheki hapa:
......SOMA ZAIDI......

WASANII WATAKAOSHAMBULIA JUKWAA LA FIESTA 2013 KIGOMA WAZURU KABURI LA ALBERT MANGWEA MKOANI MOROGORO


.....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI..

SHAHIDI:NILIPEWA SH 120,000 KUPAKIA TWIGA HAI KIA.

Shahidi wa 10 katika kesi ya usafirishaji wanyama hai nje ya nchi amemtaja mshitakiwa wa kwanza, Kamran Mohamed, ambaye ni raia wa Pakistan kuwa alimzawadia Sh. 120,000 kwa ajili ya kazi aliyoifanya ya kupakia wanyama hao kwenye ndege ya Qatar Airforce Novemba 25, 2010.

MWAKYEMBE AMNASA RASTA AKISAFIRISHA MADAWA UWANJA WA JNIA DAR ES SALAAM

Waziri-wa-Uchukuzi-Dk-Harrison-Mwakyembe-akionesha-picha-ya-kijana-Leonard-Jeremiah-Monyo-Edwin-Jeremiah-Monyo-ambaye-amekamatwa-na-kete-86-za-madawa-ya-kulevya-aina-ya-heroine.-2
Juhudi za Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe za kupambana na dawa za kulevya nchini Tanzana zimeanza kuzaa matunda baada ya jumatano akiwa katika ukaguzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Julius Nyerere kunaswa kijana akijaribu kupita na dawa za kulevya katika uwanja huo.
..SOMA ZAIDI.....

HALI HII NI HATARI...

Abiria wanashuka, wengine wanaingia...
Kadhia ya usafiri wa Noah: Abiria wakiwa wamepangwa hadi nyuma ya siti wakiwa kwenye usafiri huo kutoka  Mikumi kwenda Mjini Morogoro,
...SOMA ZAIDI........

MJADALA: WENGER KAUZA/KATOA MKOPO WACHEZAJI 17 KWENYE DIRISHA LA USAJILI - ARTETA NJE WIKI 6 - ABAKIA NA WACHEZAJI 10 TU WA KIKOSI CHA WALIO FITI KUCHEZA. NINI ANAWAZA KOCHA HUYU?

  Ligi kuu ya England inaanza wikiendi hii - huku timu kubwa baadhi zikiwa zimejipanga vizuri hasa Chelsea,Man City, Liverpool na Spurs, lakini Manchester United na Arsenal hawajawa active kwenye dirisha la usajili hili.
 
...SOMA ZAIDI....

MAKALA: SABABU KWANINI FRANK RIBERY NDIO MCHEZAJI ANAYESTAHILI KUTWAA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ULAYA


Tuzo ya mchezaji bora wa ulaya ni nafasi nyingine ya 
ulimwengu wa soka kumtunza mchezaji bora kwenye 
mchezo wa soka barani ulaya.
...SOMA ZAIDI.....

Kenyatta kwenye party ya Miss Karun

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameonesha ukaribu wake na wanajamii kwa kile kitendo ambacho hufanywa na viongozi wachache sana kwa kuweza kuhudhuria shughuri ya mwanadada Karun aliyekuwa akifanya sherehe ya kuitambulisha album yake mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.
...SOMA ZAIDI....

Picha:Lady Jay Dee na Salif Keita@Nairob


........ANGALIA PICHA ZAIDI.....

Ezekiel Kemboi Pulls a Balotelli stunt After Moscow’s Steeplechase Win in Praise of Uhuruto

kemmmbboooiii---31-year-old  two-time Olympic champion Ezekiel  Kemboi claimed victory in the 3,000 metres steeplechase world championship on Thusrday in in Moscow’s IAAF games.

Lulu kuzindua filamu yake ya "Foolish age" August 30


Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael (Lulu) yupo mbioni kuachia filamu yake ya kwanza toka atoke jela, filamu aliyoipa jina la Foolish age inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 30 mwezi huu.
...SOMA ZAIDI.....

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...