facebook likes

Saturday, October 19, 2013

Kutana na Mwanamuziki Mzuri wa Kiafrika Ambaye Awali Alikuwa Mwanaume


Titica
Mwanamke huyu  kwa jina akijulikana kama  Titica, amekuwa ni gumzo kubwa nchini Angola.
 Siku chache zilizopita UNAIDS ilimpa heshima  mwanamke huyu aliyejibadili jinsia kuwa  Balozi wake.
SOMA ZAIDI........

UNDANI WA ALIYEMPIGA RISASI UFOO.....

KIDOLE CHA KATI ALICHOONESHA SALAMA JABIR KATIKA PICHA HII...CHAZUA MAMBO


 
** *Mtangazaji wa Kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani kupitia kituo cha EATV Salama Jabir, wa pili kutoka kushoto akidaiwa kutukana kwa kutumia ishara ya kidole wakati walipokuwa kwenye moja ya haraka za kurekodi matukio ya
kipindi cha EPIQ BSS 2013,

HURUMA: WASTARA AUMIA TENA MGUU...!!


MWANADADA anayeendesha maisha yake kwa kuPkupitia  filamu  za Bongo,  Wastara Juma ameumia mguu baada ya kuwekewa mwingine mpya wa bandia huko Nairobi nchini Kenya.

SOMA ZAIDI.....

INASIKITISHA...MAMA NA WATOTO WAKE WATATU NA MFANYAKAZI WA NDANI WA FAMILIA MOJA WAFA KWA PAMOJA ...

MKOA wa Morogoro na vitongoji vyake kwa sasa umegubikwa na simanzi kubwa baada ya watu watano wa familia moja kufariki kwa mpigo katika ajali ya gari. 
SOMA ZAIDI.......

HII NDO TATOO YA MSANII DIAMOND PLATNUM ALIYEICHORA MIKONONI MWAKE...


DIAMOND3Hit maker wa Song ya “Nikifa Kesho”, na “Number One”  Diamond Platnumz anatarajia kuondoka leo nchini kuelekea china ambako atafanya show huko katika mji wa Guangzhou.
ANGALIA PICHA ZAIDI..........

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA LULU KUHUSU KESI YA BABU SEYA NA WATOTO WAKE....

Elizabeth Michael(Lulu) ambaye ni star wa filamu anayetamba Swahiliwood ametoa ya moyoni mwake kwa kuwaombea na kuwatakia kila la kheri  Babu Seya na wanawe ambao kesi yao inatarajiwa kusikilizwa upya baada ya kukata rufaa. Lulu ameyasema hayo kwakuwa hata yeye tayari ameshayaonja maisha hayo magumu ya jela. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii star huyo mwenye mvuto aliandika maneno hayo hapo chini kuhusu wanamuziki hao ambao walifungwa maisha miaka michache iliyopita.
SOMA ZAIDI..........

SERIKALI YATANGAZA KUANZA KUTUMIA NDEGE ZA KIVITA ZISIZO NA MARUBANI ILI KUTOKOMEZA MAJANGILI...

TATIZO la ujangili ambalo limekuwa sugu nchini kwa muda mrefu sasa linaanza kupata dawa, baada ya Serikali kutangaza ‘Operesheni Tokomeza’ itakayotumia mbinu za kijeshi.
SOMA ZAIDI..........

SIKILIZA AUDIO YA Zitto Kabwe adai kwamba yupo tayari CHADEMA na CCM wamnyonge lakini Ruzuku hawatapata mpaka wakaguliwe...



Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya mahesabu ya vyama 9 vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi wake wa mahesabu kwa Msajili. Baadhi a vyama hivyo vilikanisha taarifa hiyo.
BOFYA KUSIKILIZA HAPA CHINI......

KIAMAAAA!!! Wanasayansi watabiri kuwa Mwisho wa dunia huenda ukawa tarehe 26/8/ 2032.....

Dunia tunayoishi, inaweza kufikia mwisho wake August 26, 2032. Kwa mujibu wa wanajimu wa Ukraine, kimondo chenye upana wa futi 1,300 kinakuja kwa uelekeo wa duniani na kinaweza kuiponda dunia kikiwa na nguvu kubwa ya nuclear.
  SOMA ZAIDI....

NEW VIDEO: D PESA FT BADILIKA-CONSCIOUS BOY


WAZIRI MKUU AFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA CHINA...SOMA ZAIDI HAPA

PINDA_8414e.jpg Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama vifaru na silaha nyingine za kivita wakati alipotembelea banda la kunadi silaha mbalimbali za kivita zinazotengenezwa na kampuni ya NORINCO nje kidogo ya Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 18, 2013.
SOMA ZAIDI........

MAAJABU:ROCK RESTAURANT MGAHAWA ULIOJENGWA JUU YA MWAMBA BAHARINI VISIWANI ZANZIBAR..TAZAMA MAPICHA HAPA


Duniani kuna maajabu mengi,kati ya maajabu hayo ni huu mgahawa uitwao Rock uliopo visiwani Zanzibar uliojengwa juu ya mwamba mkubwa katika bahari ya Hindi.
ANGALIA PICHA ZAIDI.........

NEW VIDEO: PHD HEMEDY - REST OF MY LIFE


EDO KUMWEMBE AJIUZULU RASMI USEMAJI WA COASTAL UNION.


Bosi wa facebook anunua nyumba 4 zilizozunguka nyumba yake


ImageView
Uamuzi wa hivi karibuni wa kampuni ya Facebook wa kulegeza sera ya kutoingilia uhuru wa wateja ulisababisha gumzo lakini katika taarifa nyingine, imeripotiwa kwamba aliyegundua kampuni hiyo ambaye pia ndio bosi wake, Mark Zuckerberg ametumia dola za Kimarekani milioni 30 kununua nyumba nne za jirani kwake kulinda uhuru wake.
SOMA ZAIDI........

Picha,:Wale Wanaopenda Sneaker Za Kweli, Nike Mpya 'Nike Air Trainer 1' Ndio Hizi


 Wale wanaopenda sneaker za kweli Nike wanasema hii Sneaker ni mjumuisho wa raba zote kali unazo zifahamu kutoka Nike na yenye kila aina ya rangi bora. Pia unaruhusiwa kuvalia raba hii na nguo tofauti za michezo na mtoko pia. Sneaker hii inaitwa Nike Air Trainer 1.
 ANGALIA PICHA ZAIDI.....

Photos: Behind the Scene Video ya Shaa – Sugua Gaga

6B3A6297
  Mitaa ya Manzese ilikuwa ni  Uchukuaji wa Picha za Video ya Audio Mpya ya Shaa Sugua gaga. Ambayo inatarajiwa kutoka wiki kadhaa zijazo uku teaser ya Audio hiyo pamoja na pics ikielezea utamu na How video hiyo itakuwa? Pengine hii ni Track na Video ya Kwanza shaa akifanya ikiwa kwenye maadhi ya radha ya Uswahilini kabisa. akiwa chini ya usimamizi wa Mkubwa na Wanawe ( Saidi Fella ) Check out Photos za Video ya Sugua Gaga iliyokuwa inafanyika....

AY WA MITEGO AINGIA KUWANIA TUNZO NCHINI KENYA.


Msanii wa HipHop mwenye mashahiri yenye maneno yanayolenga mastaa tofauti tofauti nchini ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘Salamu Zao’ Nay wa Mitego, ameingizwa kwenye vipengele viwili kwenye tuzo zitakazofanyika nchini Kenya November 23 mwaka huu.
SOMA ZAIDI......

'' KAMA RIHANNA AKINITAKA SIWEZI KUMKATAA''- DANIEL STURRIDGE


Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Daniel Sturridge amefichua hisia zake kwa nyota wa muziki wa Pop Rihanna . Katika Interview moja aliyoifanya kwenye jarida la rapa wa marekani Jay Z, Sturridge alizungumzia usajili wake toka Chelsea kwenda Liverpool na pia maisha yake ya Mapenzi na zaidi alizungumza kumhusu Rihanna . Soma maneno yake hapa.....

HARUNA NIYONZIMA AZIONA FURSA ZA KIBIASHARA!


Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ameanza rasmi kuziona fursa za kibiashara zilizopo hapa nchini katika sekta ya michezo.
Kwa kuanza kiungo huyo amefyatua T-SHIRT kibao ambazo zitaingia rasmi sokoni siku ya Juma pili kwenye mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga.
Meneja wa mchezaji huyo Imamu Abbas ameuambia mtandao huu kuwa bei ya T-SHIRT hizo ni shilingi za Kitanzania 20,000/=
SOMA ZAIDI........

NEW VIDEO DULLY SYKES -KABINTI SPESHO


PELE AZINDUA KITABU CHAKE NA KUKIUZA KIASI CHA DOLLA $1700


Mwanasoka bora kutoka pande za Brazil mwenye umri wa miaka 72 Pele amezindua kitabu chake kinachoitwa Pele ambacho kinauzwa kwa kiasi cha dolla za kimarekani 1700. Kitabu hicho chenye uzito wa 33 pounds kimechapishwa jumla ya nakala 1283.
SOMA ZAIDI........

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...