facebook likes

Sunday, August 4, 2013

FEZA KESSY AJIKATIA TAMAA.. ***.KURA YAKO INAHITAJIKA ILI ASITOLEWE BIG BROTHER


Feza Kessy ameonesha kukataa tamaa na uwezekano wa kupona panga la kesho kwenye eviction ya Big Brother Africa.
Wakati akifua nguo zake bafuni, mrembo huyo alipewa kampani na Beverly na Elikem na kuwaambia kuwa haoni dalili kama ataukwepa msumeno wa kesho.

“Hakika, kama nitapona eviction ya Jumapili hii itakuwa ni miujiza tu,” alisema Feza.
“Ni ngumu kwa wapenzi kwenye nyumba hii. Angalia kilichotokea kwa LK4 na Koketso. Wote walitolewa usiki mmoja. Nadhani kitu kile kile kinaenda kutokea kwetu.”
   
Unahisi Feza anaweza kupona?,

Rooney returns in Betis clash


Wayne Rooney made his Manchester United comeback in a behind-closed-doors friendly against Real Betis on Saturday.

The England international was part of a strong United line-up that also featured Nemanja Vidic, Nani and Javier Hernandez - and he completed a useful workout to step up his recovery from a hamstring injury.
David Moyes' side ran out 3-0 winners against the Spanish outfit in a game held at the the club's training ground in Carrington.
Rooney has been missing for much of the club's pre-season campaign after returning early from the tour of Asia and Moyes had previously stated that the 27-year-old would likely return for the friendly against Swedish outfit AIK on August 6.
However, he was given an early run-out against the Liga side.
The former Everton striker's future has been shrouded in doubt throughout the close-season, with Chelsea confirming a bid for his services - although Moyes remains adamant that the Premier League champions will not sell.

Pre-Season Friendly: Monaco 5 Tottenham 2






Radamel Falcao netted twice for Monaco as they ended their preparations for life back in Ligue 1 with a 5-2 win over Tottenham on Saturday.

The Colombia international displayed his clinical prowess in front of goal to score a brace, as Claudio Ranieri's men eased to victory.
Andrea Raggi opened the scoring for the hosts at the Stade Louis II, while Lucas Ocampos and Mounir Obbadi also got their names on the scoresheet.
Falcao, Joao Moutinho and James Rodriguez were all named in the Monaco starting XI, with Jermain Defoe, Moussa Dembele and new signing Nacer Chadli included for Spurs.
Defoe's contribution was shortlived, however, as he limped off after just eight minutes to be replaced by Harry Kane.
Tottenham's fortunes did not improve and six minutes later they fell behind when Hugo Lloris failed to deal with Raggi's well-placed volley after an excellent ball over the top from Rodriguez.
Monaco continued to enjoy the lion's share of possession in the first half, but Tottenham stood firm until the interval.
However, the visitors' defence wilted in the early stages of the second period, Ocampos doubling Monaco's lead as he headed in Moutinho's near-post free-kick after 47 minutes.
Ocampos turned provider two minutes later to end the game as a contest, his precise cross swept home by Falcao.
The Premier League side replied shortly after, though, as Kane converted from close range.
Still, that proved to be only brief respite for Andre Villas-Boas' charges as Falcao fired home from another Ocampos cross after 65 minutes before midfielder Obbadi powered an effort into the bottom corner following good work from Yannick Carrasco.
Tottenham did give a scoreline a semblance of respectability six minutes from time, substitute Andros Townsend reducing the deficit with a fine individual goal.

Real Madrid yaongeza dau kwa Bale,sasa ni pauni milioni 100.


Real Madrid yaongeza dau kwa Bale,sasa ni pauni milioni 100.
Kocha wa Real Madrid,Carlo Ancelotti amesisitiza kuwa mazungumzo yao dhidi ya klabu ya Tottenham juu ya kumsajili Gareth Bale yanaendelea vizuri na sasa wameamua kuongeza dau na kufikia pauni milioni 100.
Muitaliano huyo amesema kuwa Alhamisi walianza mazungumzo rasmi na klabu hiyo ya London ili  kufanya biashara ya kumnunua nyota huyo raia wa Wales,ambaye alimwambia kocha wake Andre Villas-Boas kuwa angependa kuondoka klabuni hapo.
Madrid wapo tayari kutoa kiasi hicho kikubwa cha pesa na kuvunja rekodi ya dunia ya usajili wa kiasi cha pauni milioni 80 ambacho walikitoa kwa Cristiano Ronaldo walipomnunua kutoka Manchester United mwaka 2009 .
Ancelotti aliendelea kusema kuwa wanasubiri kuona nini kitatokea kwani kwa sasa mazungumzo yapo baina ya klabu hizo mbili,huku akidai kuwa timu yao ipo imara na wapo tayari kuona maendeleo yao ya baadae yatakuwaje.
Ancelotti

Photo: Don Jazzy Pictured With D’banj At His Sister’s Wedding

Ace Music producer and Marvin Records Boss  Don Jazzy, picture alongside with his former Label mate and business partner D’banj today at His Sister’s Wedding to Dotun of Cool FM. I think this will be their first picture together after their Break Up last year.

HIZI NDO SIMU ZINAZO UZWA BEI YA JUU SANA DUNIANI..HAKUNA SIMU ILIYO CHINI YA BILIONI MOJA

Kwa wale watu wa ma-gadgets and all that... Hii ndiyo orodha ya simu ambazo zimetambulika kuwa ndizo za gharama zaidi duniani kutokana na miundo yake pamoja na material yaliyotumika kuzitengeneza, Fahamu zaidi hapa. 

1. iPhone 5 Black Diamond - Imebuniwa na mwingereza Stuary Hughes, na thamani yake imekuwa ya juu zaidi kutokana na logo pamoja na home button yake kuwa ni madini ya Almasni na cava lake ni dhahabu, na hii inapatikana kwa kiasi cha dola milioni 15.3, zaidi ya shilingi bilioni  24 za kitanzania.2. iPhone 4 Diamond Rose Edition - Hii imetengenezwa kwa madini ya dhahabu na almasi pia katika nakshi zake zote, na bei yake ni dola milioni 8, zaidi ya shilingi bilioni 12 za kitanzania. 3. iPhone 3GS Supreme Goldstriker - Hii ni ya tatu katika orodha ya simu za gharama zaidi duniani, Imebuniwa na kampuni ya Goldstiker International, Imetengenezwa na kunakshiwa pia kwa madini ya alomasi na dhahabu. Thamani yake ni dola milioni 3.2, zaidi ya shilingi bilioni 5 za kitanzania.
4. iPhone 3G Kings Button - Simu hii imebuni wa na mbunifu mahiri, Peter Aliosson, Imepambwa na dhahabu nyeupe na njano, Bei yake ni dola milioni 2.4, zaidi ya shilingi bilioni 3 za kitanzania. 
5. GoldVish Le Million - Hii imebuniwa na raia wa Sweeden, Emmanuel Gueit na imepambwa kwa madini ya dhahabu, special order na inamilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa Russia, Bei yake ni dola milioni 1.3, zaidi ya shilingi bilioni 2 za kitanzania.
 6. Diamond Crypto Smart Phone , Mbunifu wake anaitwa Peter Aloisson, Simu hii imewekewa cover ya Gold na Almasi nyingi nimetumika katika kuipatia muonekano wa kuvutia, Bei yake ni  dola milioni 1.3, zaidi ya shilingi bilioni 2 za kitanzania. 7. Gresso Luxor Las Vegas Jackpot - Hii inatajwa kamo moja ya simu kali kabisa za kifahari duniani, imebuniwa na kampuni maarufu ya kutengeneza simu za kifahari ya Gresso, Dhahabu, Almasi pamoja na aina ya mbao kutoka Afrika yenye umri wa miaka 200 vimetumika katika kuunda simu hii, Bei yake ni dola milioni 1, zaidi ya shilingi milioni 161 za kitanzania. 8. Vertu Signature Cobra - Hii imebuniwa na Vetru, ni simu ya kifahari kwa madini yaliyotumika kufanya muundo wake ila kimsingi ndani yake ina vile vitu muhimu tu na vya kawaida katika oparesheni ya simu ya mkononi, Bei yake ni dola laki 3 na 10, zaidi ya milioni 501 za kitanzania. 9. Sony Ericsson Black Diamond - Simu hii imebuniwa na Garen Joh. black diamond ndiyo madinili yaliyotumika kutengeneza kava lake, ina muonekano ya kifahari na wa kiwango cha juu, Inauzwa dola 300,000. Zaidi ya shilingi milioni 484 za kitanzania. 10. iPhone Princess Plus - Almasi imetumika kupamba muonekano na muundo wake, na bei yake ni dola 176,400, zaidi ya shilingi milioni 285 za kitanzania. 

PICHA: HILI NDILO GALI LENYE MITAMBO YA UPELEZI LILILOKABIDHIWA KWA JESHI LA POLISI....


Jeshi la polisi nchini limepokea msaada wa gari maalum lenye mitambo itayoweza kufanya upelelezi,ukaguzi na uchunguzi wa kitaalam utakaosaidia kupata ushahidi wa uhakika katika kupambana na matukio ya uharifu hapa nchini. 
Akiziungumza na waandishi wa habari, baada ya kusaini hati za ushirikianao wa jeshi la polisi la Uturuki na kisha kukabidhiwa gari hilo, mkuu wa jeshi la polisi nchni,insepcta jenerali Saidi Mwema amesema baadhi ya waharifu wamekuwa wakihachiwa huru na mahakama kwa sababu ya ushahidi wa jeshi la polisi kutokamilika kutokana kutokuwepo na vifaa vya kitaalam ambapo  amesisitiza vifaa vilivyomo katika gari hilo vitasaidia kukusanya taarifa za uhakika za matukio ya uhalifu.

Rodgers: Bale not worth double Suarez

Liverpool manager Brendan Rodgers does not believe Gareth Bale is worth double the value of Luis Suarez.


Reports suggest Real Madrid are willing to offer a deal worth in excess of £100million for Tottenham star Bale, while Liverpool recently rejected an offer of just over £40million for Suarez from Arsenal.
And Rodgers reiterated the Anfield club would not sell the Uruguay international, while also suggesting there should not be a huge gulf in the value of the wantaway striker and Bale.
"Throughout the world every player will have a value and worth but you only need to look at the market and 40 million and one pound? Gareth Bale we're talking about six figures," he said.
"Gareth Bale and Luis Suarez were arguably the two best players in the Premier League last year. So you can't say that Gareth Bale is valued at over 100 per cent more.
"We as a club are very strong in our belief in what we're doing and there will be no one moving out of here in a hurry."
Despite his eagerness to leave, Suarez was warmly received by the Anfield crowd after being introduced for the final half-hour of Steven Gerrard's testimonial against Olympiacos on Saturday.
And Rodgers said he was unsurprised by the gesture.
"There's been a lot of speculation about Luis and maybe people wondering what sort of reception he would get," he continued. "But that's the type of supporters that Liverpool are, they love their own.
"They've given him everything the supporters and even when they may have had an excuse, they've never ever done that (boo), they've backed him to the end and it was great for them to do that."
On club captain Gerrard, the Northern Irishman added: "For me, he's still got a number of years left yet. I see Steven at 33, and since the first day I walked in here he's really struck me with his determination and hunger to still succeed.
"You've seen his performance today, the quality of his movement, his passing, his leadership, he knows the responsibility is now on his shoulders with a number of players moving on. He's a real talisman and a real gentleman."

BBC WAOMBA RADHI KWA KUZIANIKA NYETI ZA PRINCE WILLIAM WA UINGEREZA


Shirika la habari la Uingereza BBC limeomba radhi kwa kile wanachodai kuwa walionesha kwa bahati mbaya video yenye picha ya Prince William wa Uingereza ikiwa imechorwa nyeti za mwanaume katika uso wake.


Inadaiwa kuwa siku ya Alhamisi asubuhi (August 1) kituo cha TV cha BBC kilirusha video ya wimbo “I Could Have Married Kate” ya kikundi cha muziki cha Comedy kiitwacho ‘Barbershopera’ bila wao kugundua katika video hiyo kuna picha inayomdhalilisha Prince William iliyochorwa nyeti za mwanaume katika uso wake.


Watazamaji ndio waligundua picha hiyo na kuanza kutweet kuhusiana na walichokiona.


Baadae BBC waliomba radhi kwa kusema ‘Barbershopera’ waliwaletea video hiyo na kwa bahati mbaya maproducer wao hawakugundua kasoro hizo mapema.


“the material was provided by Barbershopera but we failed to spot the offending material within it. We apologize for this.” BBC waliomba radhi mchana wa siku hiyo.

 tazama video hiyo hapa:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...