facebook likes

Monday, August 12, 2013

Hivi ndiyo Wema Sepetu alivyosherekea sikukuu ya Eid

mdada1
























 
 Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande wake,
....SOMA ZAIDI....
alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na wazazi wake wote wawili na kusherekea pamoja nyumbani kwao ikiwa ni pamoja kupiga nao story nyingi. Picha kama hii haijawahi kutoka ikimuonyesha Wema akiwa na wazazi wake wote wawili. Mara nyingi anakuwaga na mama yake na mara moja alionekana kuwa na baba yake.
mdada

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...