facebook likes

Monday, September 2, 2013

NEW JOINT : Jux - Uzuri Wako.(Official Video)

WATCH THE VIDEO HERE AFTER THE CUT....

ANGALIA PICHA ZA GARETH BALE ALIVYOTAMBULISHWA REAL MADRID LEO.

 ANGALIA PICHA ZAIDI..........

EXCLUSIVE PHOTOS::TAZAMA JINSI UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA JUX UZURI WAKO ULIVYOFANA CLUB BILICANAS.

Siku jana msanii ambaye anapiga kitabu pande za China “Jux” alifanya bonge la birthday party pamoja na kuzindua rasmi kichupa cha “uzuri wako”.
ANGALIA PICHA ZAIDI..........

ANGALIA PICHA OPERESHENI YA KUWAVUA WAVAA "VIMINI" MTAANI IMEANZA.., HUYU DADA AVULIWA POLISI WAMUOKOA

 VIJANA wamechoka kuwaona wanawake wanaovaa kihasarahasara ‘vichupi’ mitaani ambapo wameanzisha oparesheni maalum ya kuwavua kabisa ili watembee utupu ijulikane moja.
SOMA ZAIDI........

MEYA WA CCM BUKOBA AKESHA OFISINI IKIDAIWA KUBADILISHA NYARAKA KISA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI.




 
MEYA wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani, anadaiwa kukesha ofisini na baadhi ya watendaji wake, hatua inayoibua taharuki kwa wananchi kuwa huenda anabadili nyaraka kabla ya kukaguliwa.
SOMA ZAIDI.............

KAZIMOTO APIGA BAO MBILI QATAR, MOJA KAMA KAWAIDA YAKE...

Neema imeanza kumjaa kiungo wa zamani wa Simba, Mwinyi Kazimoto baada ya kupiga mabao mawili safi akiwa na timu yake mpya ya Al Markhiya ya Qatar.

SOMA ZAIDI.........

Ciara and her boo Future get matching Bentleys

Singers Future and Ciara a few days ago showed off their matching Bentleys on Instagram. Future bought a 2014 Bentley Flying Spurs valued at $210,000 while Ciara bought a Bentley Continental.
Couples who buy Bentleys together, stay together! :-). More pics when you continue...

Exclusive pics of Ice Prince with US rapper Meek Mill in Philadelphia

Ice Prince met up with US rapper Meek Mill a few hours before their Dream Chasers Sports and Entertainment Summit show on Friday August 30th in Philadelphia. More photos after the cut...

Gareth Bale akifanyiwa vipimo vya afya REAL MADRID..

ANGALIA PICHA ZAIDI............

Star Mwingine Mkubwa Ajitangaza Kuwa Ni Shoga, Ni Mpiganaji Mieleka Maarufu [WWE]

Hii ni habari nyingine ya kuwaacha watu midomo wazi, na hii ni kufuatia hatua ya Nyota Mieleka kutoka WWE, Darren Young kuweka wazi kuwa yeye ni shoga.
SOMA ZAIDI............

ZANZIBAR YATAKA RASIMU YA KATIBA MPYA IWARUHUSU KUJITEGEMEA KWA KILA KITU..!!

http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/1976288/highRes/569881/-/10ih1q9/-/nasoor.jpgKamati ya Maridhiano imetoa maoni yake ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutaka Zanzibar ijitegemee karibu kwa kila kitu. 
SOMA ZAIDI...............

DAUDI MWANGOSI ATIMIZA MWAKA MMOJA TANGU KUUWAWA KWAKE MKOANI IRINGA.


Ndugu zangu,

HUWEZI kutawala miili ya watu ukaacha mioyo yao. Ndiyo, mjumbe hauawi, ni kauli ya hekima ya tangu enzi za wahenga wetu.
SOMA ZAIDI.............

Manchester United And Everton Agree £24m For Fellaini

Manchester United have agreed a £24 million fee with Everton for midfielder Marouane Fellaini.
photo Manchester United have agreed a £24 million fee with Everton for midfielder Marouane Fellaini.

I'm Returning To AC Milan - Kaka

Kaka says he is delighted to return to AC Milan after reaching an agreement over a contract until June 2015 with the San Siro side on Sunday night.
photo Kaka says he is delighted to return to AC Milan after reaching an agreement over a contract until June 2015 with the San Siro side on Sunday night.

First Photos from the 2013 Nigeria Entertainment Awards in New York City – Rita Dominic, Iyanya, Olamide & More

Rita Dominic in House of Nwocha

Rita Dominic in House of Nwocha
The 2013 Nigeria Entertainment Awards took place yesterday Sunday 1st September 2013 at the NYU Skirball Performing Art Center, New York City, USA.
READ AND CHECK MORE PHOTOS.........

REDD’S MISS PHOTOGENIC 2013 NI HAPPINESS WATIMANYWA

happy watimanywa
Mlimbwende Happiness Watimanywa (19) jana aliibuka kidedea kati ya walimbwende wenzake 30 na kutwaa taji la Redds Miss Photogenic 2013 na kupata nafasi ya kwanza kabisa kuingia Nusu Fainali ya mashindano hayo. 
SOMA ZAIDI....

Diamond Platnumz - Number One (Official Music Video).........WATCH HERE!

Uzinduzi wa video hii ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita pale Serena Hotel jijini Dar. Miongoni mwa vivutio vikubwa katika tukio lile ilikuwa ni pamoja na kitendo cha Diamond Platinumz kumkabidhi Maalim Gurumo zawadi ya gari.
Wimbo umetengenezwa au kupikwa na Sheddy Clever pale Burn Records-Tabata na video imefanywa na Ogopa Deejays ya nchini Kenya. Shooting ilifanyiwa nchini Afrika Kusini na inasemekana imegharimu Dola $30,000. Hii hapa ndio video rasmi
WATCH VIDEO HERE AFTER THE CUT.....

USAJILI WA BALE: MADRID WASEMA HAWAJAVUNJA REKODI YA USAJILI WA RONALDO - BALE ASAINI MIAKA 6 KULIPWA £256,000 - KUTAMBULISHWA MCHANA HUU


Sakata la usajili wa Gareth Bale limefikia tamati usiku wa jana wakati alipohamiaReal Madrid kwa ada ya uhamisho wa dunia £86million. 
SOMA ZAIDI..........

OZIL MBIONI KUJIUNGA NA ARSENAL KWA ADA YA UHAMISHO WA £42M KUTOKA REAL MADRID

Klabu ya Arsenal iko mbioni kukamisha usajili wa kiungo wa Real Madrid Mesut Ozil katika siku ya mwisho ya usajili barani ulaya.
soma zaidi...........

AIBU: KIJANA ANASWA AKIUZA UUME WA MTU....POLISI WAMTIA MBARONI

 
Jeshi la polisi nchini malawi wanamshikilia kijana mmoja baada ya kumkuta akiuza sehemu ya siri ya mwanaume. 
SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI..........

PROMOTA WA CHEKA MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA UTAPELI

 
Promota Jay Msangi (katikati) akiwa na Bondia Mmarekani (kushoto) aliyekuwa aje kupigana na Bondia Mtanzania, Alphonce Mchumiatumbo katika pambano hilo la juzi.
SOMA ZAIDI..............

SISTER FEKI ANAKAMATWA AKIKUSANYA FEDHA....

POLISI mjini Narok nchini Kenya wanamshikiria mwanamke mmoja aliyenaswa akiwa na mavazi ya kitawa akikusanya fedha kutoka kwa watu wenye mapenzi mema akidanganya kuwa ni sister.
SOMA ZAIDI.............

10 Beautiful Photos of The New Tusker Project Fame Host Joey Muthengi

By now we probably all know that Radio and TV personality Joey Muthengi has replaced Sheila Mwanyigha as Tusker Project Fame 6 host. 

NDEGE ZAGONGANA HUKO ZANZIBAR.

6dd4f8fa946792bc2e8513593202a03e-2Ndege ya Oman air na Ethiopian airlines Jumapili jioni ziligongana katika kiwanja cha ndege cha Zanzibar wakati zikijitayarisha kuruka, ila ajali hii haikuwa kubwa, wakati hayo yakiendelea abiria wa Ethiopian airline walishushwa na kuwekwa kwenye sehemu ya mapumziko.
SOMA ZAIDI...............

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...