facebook likes

Friday, June 28, 2013

BIBI yake OBAMA MAMA SARAH OBAMA KUJA TANZANIA KUMSALIMIA MJUKUU WAKE ATAKAPOWASILI DARESALAM.

SIKU CHACHE KABLA YA ZIARA YA RAIS WA MAREKANI KUJA NCHINI TANZANIA IMEFAHAMIKA KUWA BIBI YAKE NA RAIS OBAMA MAMA SARAH OBAMA ANATARAJIA KUJA NCHINI TANZANIA KUJA KUMSALIMIA MJUKUU WAKE HUYO.
AKIZUNGUMZA  JUZI KIJIJINI KWAKE ENEO LA KWEGERO HUKO KISUM BIBI HUYO ALIEZALIWA MWAKA 1922 AMESEMA KUWA HAJISKII VIBAYA OBAMA KUTOITEMGELEA KENYA KWANI ANAJUA KUWA OBAMA NI RAIS WA TAIFA KUBWA DUNIANI,HIVYO ANAKUWA NA RATIBA AMBAYO INAZINGATIA MAMBO MENGI NA NI VIGUMU SANA KUIVUNJA.
BIBI HUYO AMEENDELEA KUSEMA KUWA ANAJISIKIA FURAHA KUONA MJUKUU WAKE HUYO KUJA TANZANIA KWANI HISTORIA INAONYESHA KUWA KABILA LA KIJALUO LINAMUINGILIANO MKUBWA KATI YA NCHI HIZI MBILI ZA TANZANIA NA KENYA HIVYO WAO WANAAMINI KUWA OBAMA AMEITEMBELEA NCHI YA NYUMBANI KWAO.#

NDEGE 8 ZA BARACK OBAMA ZATUA DAR ES SALAAM


DAR ES SALAAM.   MAKACHERO wa Marekani wameendelea na matayarisho ya mwisho ya ziara ya Rais Barack Obama, ambapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere walikuwa na kazi ya kuunganisha helikopta za doria.
Makachero hao walikuwa wakiunganisha helikopta sita zilizosafirishwa vipande vipande kutoka Marekani, ambapo meli mbili za kivita na ndege moja pia zimewasili.
Rais Obama tayari yuko katika ardhi ya Afrika, ambapo leo anatarajiwa kwenda Afrika Kusini baada ya kumaliza ziara yake ya kwanza Senegal na anatar ajiwa kuwasili nchini Jumatatu.
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa jana na Mwananchi unaonyesha Marekani imeleta helikopta hizo kwa ajili ya ulinzi wa Rais Obama, zikiwemo meli zilizobeba helikopta nyingine mbili na ndege.
Habari zilizopatikana kutoka kwa wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,zinasema kuwa helikopta sita zinaunganishwa katika sehemu ya karakana ya Kikosi cha Anga cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Mpashaji mmoja aliliambia gazeti hili kuwa helikopta hizo zililetwa kama vipande vipande vilivyosafirishwa kama mzigo kwenye meli za kivita zilizotia nanga jijini Dar es Salaam.
“Nilikaribia kwenye eneo la karakana na nikashangaa kuona jinsi jamaa walivyokuwa ‘bize’ wakiunganisha vyuma mbalimbali na kutengeneza helikopta hizo,” aliongeza mpashaji wetu, ambaye alibahatika kusogelea eneo hilo licha ya kuwepo kwa ulinzi mkali.
Inaaminika kuwa helikopta hizo zitakuwa zinasaidia kusafirisha watu na mizigo kutoka kwenye meli za kivita ambazo zimeegeshwa kwenye Kikosi cha Maji cha JWTZ.
Pia helikopta mbili zinaaminika ziko katika meli ambazo zimeegeshwa huko Kigamboni.
Meli za kivita na ndege ya kijeshi
Katika hatua nyingine, meli mbili za kivita ambazo zimetengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu zimeegeshwa Kigamboni.
“Jamaa wana meli kali kwa kweli, mimi nimekuwa askari wa Kikosi cha Maji kwa muda mrefu na kufanya mazoezi na mataifa kadhaa, lakini sijaona meli kama zile. CHANZO MWANANCHI.

NEY WA MITEGO AANZISHA BIFU NA PANCHO, USHOGA WAHUSISHWA ..JIONEE MWENYEWE HAPA



ASANTE KWA KUPATA HUDUMA ZETU,TUNAKUOMBA BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK

Jay-Z Uses Scavenger Hunt To Reveal Magna Carta Track List




  1. Jay-Z and Timbaland in the new Magna Carta Holy Grail ad

Hov's upcoming 13-track LP could start off with 'Picasso Baby' and ends with 'Nickles & Dimes.'

With July 4 fast-approaching Jay-Z figured he'd have a little fun with his fans on Saturday and send them on a scavenger hunt through Brooklyn in search of the track list for his upcoming Magna Carta Holy Grail LP. The album, will drop on Independence Day unlocked through a special app for Samsung smartphone users and be available to the rest of the world three days later.
A member of Jay's team who goes by the Twitter handle @jjmonster began using Twitter and Instagram to lure New York fans to various Brooklyn locations with promises of a prize. Hov fanatics from Queens, Harlem and of course BK all flocked to get their hands on a binder which contained the titles of all of MCHG's tracks.

One fan, who is known on YouTube as Jason Millions posted a 19-second video of him thumbing through the binder, revealing the song titles one by one. "Jay-Z's scavenger hunt, didn't even know what it was but...," he said with his voice trailing off before he flipped through the book's pages.
If the page order in the binder is correct, it appears that the album will contain 13 songs and open with "Picasso Baby," a track that may draw parallels between Hov's love for high art and awesome raps. The actual lyrical content on any of Magna Carta's songs is anyone's guess and a selection with the title, "F.U.T.W." could be about anything.

Still, song titles like "Part II (On the Run)" suggest that there will be some dramatic moments on the LP, while "La Familia" and "Jay-Z Blue" are two terms that longtime Jigga fans should be familiar with. Hov named his 2000 album The Dynasty: Roc La Familia and he once trademarked Jay-Z blue as an official color and even rhymed about it on Young Jeezy's 2005 fan-favorite "Go Crazy" ("My favorite hue is Jay-Z blue").
Pharrell Williams appeared in the show-stopping Magna Carter television ads alongside producers Swizz Beatz, Timbaland and Rick Rubin, so it's a safe bet that Skateboard P had something to do with the track "BBC." After all the song does bear the same initials as his Billionaire Boys Club clothing line, but again anything is possible.

The track list doesn't uncover any of the album's features either and while Jay has recently been photographed in the studio with Nas, Justin Timberlake, Drake and Raekwon there is no indication that they will appear on the album.
It's also unclear on which song Jay interpolates lyrics from Nirvana's classic rock single "Smells Like Teen Spirit," but according to Courtney Love she recently granted the star rapper permission to use her deceased husband's song. "I'm letting Jay-Z use lyrics - Francis would freak [if she knew this.] Jay-Z's huge and we're friends. I mean we're not besties or anything," Love told HuffingtonPost.com in an interview that posted on Wednesday.

The Magna Carta Holy Grail track list:
1. "Picasso Baby"
2. "Heaven"
3. "Versus"
4. "Tom Ford"
5. "Beach Is Better"
6. "F--kWithMeYouKnowIGotIt"
7. "Oceans"
8. "F.U.T.W."
9. "Part II (On The Run)"
10. "BBC"
11. "La Familia" 12. "Jay-Z Blue" 13. "Nickles & Dimes" 

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...