facebook likes

Saturday, February 23, 2013

Oscar Pistorius A Free Man Again ... For Now

0222-oscar-pistoriu-landov
Oscar Pistorius is free ... the Olympic sprinter accused of murdering his girlfriend was just released from a South African prison after posting bail.

Pistorius -- who's charged with murdering GF Reeva Steenkamp on Valentine's Day -- was granted bail in exchange for 1,000,000 rand (or $113,000).

He has spent the last 8 days behind bars.

The Chief Magistrate granted Pistorius bail on the condition he turn over his passport and surrender any guns he owns. Pistorius also can't leave the district of Pretoria without the permission of his probation officer. He is also banned from drinking and doing drugs.

He's due back in court on June 4.

Cash Money Records Sued By 70s Producer -- Bow Wow Bogarted My Jam

0222_lilwayne_birdman_bowwow 
Lil Wayne and Birdman's label Cash Money Records is in the hot seat over allegations it illegally used a sample from a 70s song in one of Bow Wow's recent tracks.

The septuagenarian behind the lawsuit is Robert Poindexter from the 70s band The Persuaders.

Poindexter claims Cash Money sampled his band's song "Love Gonna Pack Up (and Walk Out)" and illegally lifted the tune in Bow Wow's 2010 track "Still Ballin."

As for "Love Gonna Pack Up (and Walk Out)" -- the song was recorded in 1972 and reached the top of the charts ... and Poindexter says neither Cash Money nor Bow Wow ever obtained permission to sample it.

0222_subasset_the_persuaders
Poindexter claims he reached out to Cash Money for an answer, and was redirected to Bow Wow's attorneys, who then directed him back to Cash Money ... which is why Cash Money's currently in his crosshairs.


Poindexter wants $600,000 in punitive damages, plus interest. Cash Money has yet to respond to the suit. We reached out to the label for comment -- so far, no word back.

It's not the first time Poindexter's sued rappers over his music -- the producer has already filed suit against 50 Cent and Kanye West over similar song-stealing allegations.

PICHA YA KWANZA YA WIZ KHALIFA NA MTOTO WAKE


Hatimaye Wiz Khalifa na Amber Rose wamepata mtoto wa kiume, na picha ya kwanza ya mtoto wake ambaye ameshare ni hiyo hapo.Huku pia Amber Rose akitwit kuwa Wiz Khalifa ni baba mzuri " ”Best daddy ever"

PICHA 2 WALIOJUMUIKA KTK IBADA YA KUMKUMBUKA NA KUMUOMBEA MAREHEMU GOLDIE, PREZZO YUPO PIA



Walikusanyika watu mbalimbali akiwemo rafiki wa Goldie Denrele Edun, Prezzo, Karen Igho, Ola wa big brother na wengine.


.

HUYU NDIO MDOGO WAKE BEYONCE WA NJE YA NDOA AMBAE BEYONCE AMEGOMA KUMUONA.


.
Unaambiwa stori za kuaminika zinatiririsha kwamba mwimbaji star wa dunia Beyonce amekataa kabisa kuonana na mdogo wake wa kiume aitwae Nixon (3) ambae baba mzazi wa Beyonce amempata na mwanamke mwingine wa nje ya ndoa aitwae Alexandra Wright.
Hiyo ni moja ya sababu kuu ambazo inadaiwa ndio zilivunja uhusiano kati ya mzee Knowles na mama Knowles pamoja na kina Beyonce huku za kuaminika zikipasha zaidi kwamba ndio kilikua chanzo cha Beyonce pia kujiondoa kuwa chini ya baba yake kikazi manake mwanzoni Knowles ndio alikua meneja wa Beyonce.

Nixon na baba yake mzazi mzee Knowles mwenyewe.

The Box wameripoti pia kwamba uhusiano wa mzee Knowles na Alexandra ndio uliivunja ndoa yake na Tina ambae ndio mama mzazi wa Beyonce ambapo star Magazine wameripoti tena kwamba Beyonce hana furaha na baba yake sasa hivi kwa hiyo dhambi aliyofanya baada ya ndoa yake kudumu kwa miaka 31.
Pamoja na kwamba mzee Knowles aliamua kuhamia kwa nyumba ndogo na kuamua kuzaa mtoto mmoja, mke wa nyumba ndogo ambae ni Alexandra amesema uhusiano wake na Knowles ulikua wa miezi 18 tu ambayo waliishi pamoja ila baada ya hapo mzee akaanza kuzingua wakati Alexandra akiwa mjamzito na hata alipojifungua mzee akamtelekeza.

Beyonce na mama mzazi.

Pamoja na kwamba mzee huyu alimkataa huyu mtoto wa nje, vipimo vilionyesha kwamba mtoto ni wake kabisa ambapo Mahakama moja Los Angeles Marekani ilimuamuru atoe dola elfu 8,200 kama matunzo ya mtoto.
Mzee Knowles ni mmoja kati ya wenye heshima kwenye muziki, ndio mtu aliyegundua kipaji cha Beyonce na hata kuunda kundi la Destiny’s Child, one of the biggest girl groups of all time.
Beyonce sio staa wa kwanza kusikia kwamba hapatani au haongei na baba yake, imeshatokea kwa Kelly Rowland pia na hata movie star ambae amewahi kuja Tanzania kwenye mbuga za wanyama na kulala kwenye hoteli namba moja duniani Angelina Jolie.

BEST VIDEOZ FROM NIGERIA AT THE MOMENT

BEHIND THE SCENE: ALL GOLD EVERYTHING REMIX BY TRINIDAD JAMES

PREZZO AREJEA KENYA
































Rapa Jackson Makini ama Prezzo ametua nchini Kenya baada ya kukaa kwa wiki moja mjini Lagos, Nigeria alipokuwa amekwenda kwa ajili ya kufurahia siku ya wapendanao yaani Valentines Day ambapo badala yake akakutana na msiba mzito baada ya kifo cha mpenzi wake Goldie katika siku hiyo muhimu.
Prezzo ambaye hakutaka kufanya aina yeyote ya mahojiano imemlazimu kurudi nchini Kenya baada ya familia ya marehemu Goldie kutokuwa na taarifa kamili juu ya mipango ya mazishi ya mpendwa wao Goldie Harvey.

Aidha watu wa karibu wa rapa Prezzo wamethibitisha uwepo wake akiungana na ndugu wa marehemu katika uombolezaji tofauti na bwana wa marehemu Andrew Harvey ambae kila kukicha alikuwa bize akifanya mahojiano na vyombo vya habari ambapo taarifa zilizopo ni kwamba yupo
nchini Uingereza.


DAYNA ACHUKIA KIFUA CHAKE





































Msanii anayefanya vizuri katika gem ya Bongo Fleva Dayna amesema anachukia sana “chale” alizochanjwa alipokuwa mdogo zilizopo kifuani kwake na kutamani kuzitoa kwa gharama yoyote.
Dayna amefunguka kuwa wakati akiwa mdogo alikuwa anatatizo la kuumwa kifua hivyo walezi wake katika kutafuta tiba akajikuta anachanjwa chale hizo ambazo amekuwa akizichukia sana.
Dayna anayatamba na ngoma yake mpya akimshirikisha Mr. Blue inaitwa Leo amesema anamshukuru Mungu kwani kila umri wake unavyozidi kukua na chale hizo zinapotea.

EDO KUMWEMBE ASEMA ALIYE WACHORA ZOMBI na MESI KATIKA MTIHANI WA FORM FOUR ANA AKILI KULIKO WALIO AMUA KUMPA KIBAKI BARABARA YA OLD BAGAMOYO

PICHA:UTENGENEZWAJI WA VIDEO MPYA YA CAMP MULLA `IF YOU BELIEVE'

Napenda Ufahamu kuwa Wasanii tayari wameanza kuhamasisha Vijana na Wananchi wa Kenya kupiga kura kwenye uchaguzi huu na Camp Mulla tayari wamesha rekodi wimbo kwa ajili ya Watu wao. Joint hii ya Camp Mulla inaitwa `If You Believe' na utatoka hivi karibuni baada tu ya video kukamilika. Cheki Hizi Picha Hapa Chini.











KAMA WEWE NI MPENZI WA MIXTAPES HII INAKUHUSU

JCB AFUNGA NDOA NA DIANA JORGENSEN

Msanii JCB kutoka kundi la WATENGWA lenye maskani yake Arusha juzi aliuaga ukapela na kufunga ndoa na Diana Jorgensen
Diana akidondonsha wino kwenye kitabu cha ndoa



Mtu mzima nae akidondosha wino
Add caption
 Ndugu jamaa na marafiki waliofika kishuhudia tukio hilo la kipekee


COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...