.....SOMA ZAIDI.....
Wema Sepetu alipata ugeni kutoka kwa washiriki wa Bibi Bomba (2013)...Kipindi kinachorushwa hewani na Clouds Tv The People Station kikiongozwa na Babuu wa Kitaa... Mabibi wanne walioonekana kuwa na uwezo katika fani ya maingizo walipata nafasi yakujifunza baadhi ya mambo muhimu katika Tasnia nzima ya maigizo...
No comments:
Post a Comment