![]() |
Sure Boy chini... |
![]() |
John Bocco na kipa wa Memelodi |
![]() |
Mfungaji wa bao pekee la Azam leo, Gaudence Mwaikimba katikati ya mabeki wa Azam |
![]() |
Mwaikimba akishangilia bao lake |
![]() |
Seif Abdallah akimpongeza Mwaikimba |
![]() |
John Bocco alikuwa mwiba leo |
![]() |
Kipre Tchetche akigombea mpira na mchezaji wa Mamelodi |
![]() |
Kiungo wa Azam, Himid Mao akimtoka mchezaji wa Mamelodi |
![]() |
John Bocco anajianda kumtoka mtu |
![]() |
Sure Boy alionyesha kiwango leo |
![]() |
Jabir Aziz akiwatoka wachezaji wa Mamelodi |
![]() |
Kipa Aishi Manula akidaka vizuri leo na kuokoa michomo kadhaa ya hatari |
![]() |
John Bocco leo alishindwa kufunga tu, ila mabeki wa Mamelodi walimtambua |
![]() |
John Bocco akipambana |
![]() |
11 wa Azam FC walioanza leo |
![]() | |||
11 wa Mamelodi walioanza leo | source: bin zubeiry |
No comments:
Post a Comment