Baada ya tukio la moto la leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi, Kenya,
...SOMA ZAIDI..
lililosababisha uwanja huo
kufungwa kwa muda na kumfanya Diamond Platnumz aliyetua alfajiri ya leo
akitokea Afrika Kusini kukwamwa, Cocacola imemchukulia ndege binafsi
itakayomleta Dar es Salaam.
Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha wakati akipenda kwenye
ndege hiyo ambamo atakuwa peke yake na rubani.
“Had no choice than dat, coz i miss my mum and Baby lyk crazy… @
Wilson Airport Nairobi… can’t wait to see you @rommyjones #I #MySelf
#AloneInTheJet #CocaBoy …. #Cocacola Mmetisha sana, asanteni sana,” ameandika. Diamond ni balozi wa Cocacola.
Hizi ni bei za kukodi ndege binafsi nchini Kenya. Air Charter Rates at HKNW
Turbo-Props: $1,200 – $1,800/hr
Light Jets: $1,900 – $2,650/hr
Mid-size Jets: $2,700 – $3,400/hr
Turbo-Props: $1,200 – $1,800/hr
Light Jets: $1,900 – $2,650/hr
Mid-size Jets: $2,700 – $3,400/hr
No comments:
Post a Comment