Staa wa filamu za Kibongo,Irene Paul amedaiwa kuwa mjamzito ambapo
inasemekana amekuwa akiuficha ujauzito huo ili asipigwe picha na
mapaparazi.
......SOMA ZAIDI.....
Chanzo cha karibu na msanii huyo kinasema kuwa msanii huyo amekuwa
akiuficha ujauzito wake na hataki hata watu wake wa karibu wajue bila
kutoa sababu za msingi kwanini hataki ajulikana kama ana mimba.
‘sijajua kwanini hataki watu wajue kama ana ujauzito labda anataka
watu washtukie tu amejifungua mtoto,lakini ajue yeye ni staa hata
afanyeje hawezi kulificha tumbo lake litakapokuwa kubwa’’kilisema
chanzo…hicho.
No comments:
Post a Comment