facebook likes

Saturday, July 6, 2013

Ushahidi mwingine wa Justin Bieber na Selena Gomez kurudiana.

.

.
Justin Bieber msanii ambaye kipaji chake kiligunduliwa kupitia mtandao wa Youtube baada ya meneja wake wa sasa kumuona akiimba wimbo wa Chris Brown, kwa miezi kadhaa iliyopita amehusishwa na skendo za kuwa na mahusiano na wasichana mbalimbali akiweme Miley Cruys star wa movie ya Hanna Montana na wengine wengine wengi pamoja na msichana mwingine waliyeonekana pamoja siku ya fainali za NBA.
justin
Justin Bieber ameendeleza uwazi kwamba yeye amerudiana na mpenzi wake wa zamani Selena Gomez ambapo kupitia account yake ya instagram Justin alipost picha akiwa closer kabisa na Selena Gomez na kuandika #heartbreaker. Kwa ushahidi huo inaonyesha kwamba Justin Bieber na Selene Gomez bado ni wapenzi.
.
Selena na Justin.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...