facebook likes

Saturday, July 6, 2013

Ulimis kauli ya Moyes July 5 2013 kuhusu stori kwamba Rooney anauzwa?

.

.
Ewe mtu wangu wa nguvu ambae unaamini damu yako ina maandishi yanayoipa support Manchester United kwenye ushabiki… acha nikudondoshee hii good news.
Boss mpya wa Old Trafford kocha David Moyes mwenye umri wa miaka 50 amelihutubia taifa la soka duniani pamoja na la Manchester United…
Unajua amesemaje kuhusu stori kwamba Wyne Rooney anaiacha Manchester United?
.
.
Rooney hauzwi ng’o na atabaki Manchester United, kingine alichoongeza ni kwamba Wyne Rooney anafanya kazi vizuri chini ya uongozi wake, yani uongozi wa Moyes.
‘Ni mchezaji mkali…. Tuache huu utani kwamba anauzwa’
Kwa wale ambao bado walikua wanamini Moyes na Rooney wana beef, Moyes anakwambia… ‘vyote vilivyotokea kipindi kilichopita vimeshapita…. tuliongea mara kadhaa na kuanzia hapo nimeanza kumuona Rooney akiwa na furaha na imenipendezesha’
.
.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...