facebook likes

Saturday, July 6, 2013

HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA TID AKIPONDA KUHUSU RAPPER WAKAZI KWENDA KUPIGA SHOW BBA

HabarMpya :
.
.
.
.
.
Rapper Wakazi ni mmoja kati ya wasanii ambao majina yao hayajatajwa sana kwenye headlines za bongoflevani, hii ni kutokana na msanii huyu kuwa njiani kuelekea juu kwenye game… ameishi Chicago Marekani kwa zaidi ya miaka 7 kabla ya kuamua kurudi nyumbani Tanzania.
.
Wakazi aliRT muda mfupi tu baada ya T.I.D kuandika.
source-millardayo

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...