Ushahidi mwingine wa Justin Bieber na Selena Gomez kurudiana.
Justin Bieber msanii ambaye kipaji chake kiligunduliwa kupitia
mtandao wa Youtube baada ya meneja wake wa sasa kumuona akiimba wimbo wa
Chris Brown, kwa miezi kadhaa iliyopita amehusishwa na skendo za kuwa
na mahusiano na wasichana mbalimbali akiweme Miley Cruys star wa movie
ya Hanna Montana na wengine wengine wengi pamoja na msichana mwingine
waliyeonekana pamoja siku ya fainali za NBA.
Justin Bieber ameendeleza uwazi kwamba yeye amerudiana na mpenzi wake
wa zamani Selena Gomez ambapo kupitia account yake ya instagram Justin
alipost picha akiwa closer kabisa na Selena Gomez na kuandika
#heartbreaker. Kwa ushahidi huo inaonyesha kwamba Justin Bieber na
Selene Gomez bado ni wapenzi.

Selena na Justin.
No comments:
Post a Comment