Msiba wa makeup Artist maarufu Nigeria
Makeup artist maarufu wa Nigeria Adenike maarufu kama ‘Ewar’
ambae alifanya hiyo kazi kwa miaka tisa, amefariki muda mfupi tu baada
ya kujifungua mtoto wa kike Sagamu Nigeria.
Waliokaribu na familia yake wamesema matatizo yaliambatana na
blood pressure pamoja na BP ambapo alifariki asubuhi ya July 4 2013..
#R.I.P
No comments:
Post a Comment