facebook likes

Saturday, July 6, 2013

Piga kura hapa kumuokoa Nando asitoke kwenye jumba la Big Brother The Chase.

Nando
Nando mmoja ya wawakilishi wa Tanzania kwenye jumba la Big brother the chase, wiki hii amekuwa nominated kwenye group la watu ambao wanaoweza kutoka kwenye jumba hilo. Mtu wangu wa nguvu una nguvu na nafasi kubwa ya kumuokoa Nando abakie kwenye jumba lile na aendelee kuiwakilia 254 vizuri. Hapahapa unaposoma hii story bonyeza HAPA na utaweza kupiga kura moja kwa moja na utamuokoa Nando wiki hii na pia kama ni bahati yako unaweza kushinda zawadi kutoka DSTV.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...