facebook likes

Saturday, July 6, 2013

Picha za hawa wanachuo waliochujwa mpaka kupatikana huyu Miss vyuo vikuu 2013

Mpango umefanyika usiku wa July 5 2013 Sinza Dar es salaam ambapo ulikua usiku wa kuwakutanisha warembo kutoka vyuo mbalimbali Tanzania na kuchujwa mpaka kupatikana mshindi ambae anatoka Dar es salaam.
.
.
.
.
.
.
Rich Mavoko kwenye stage
.
.Majaji
.
.Ney wa Mitego nae alipafom
.VIRGINIA MOKIRI-MISS HIGHER EDUCATION ALIYEMALIZA MUDA WAKE
.
Jack akimtangaza mshindi.
.
Huyu ndio Miss Vyuo vikuu 2013, ni Miss wa chuo cha Ustawi wa Jamii Dar es salaam anaitwa Severina Emmanuel Lwinga alijishindia milioni moja.
.
Mshindi wa pili ni Jescar Nassar kutoka IFM Dar es salaam na wa tatu ni Miriam Manyanga kutoka IFM pia.
.
Mshindi namba 4 ni kutoka St. Augustine na namba 5 anatoka chuo cha Tumaini Kagera.


No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...