facebook likes

Thursday, July 25, 2013

T.I.D akizungumzia wimbo wake mpya, usikilize na ku-download hapa




tid
TID anatarajia kutoa album yake mpya inaitwa Mnyama Unyamani mwezi wa tisa 2013 lakini leo ametoa moja ya wimbo utakao kuwepo kwenye track list ya album hiyo, unaitwa Gere na amemshirikisha Maunda Zorro.
TID akizungumzia wimbo huu na pata nafasi ya kusikiliza na kudownload hapa hapa..

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...