Huko
Kamahuha, Maragua nchini Kenya kumetokea tukio ambalo liliwashangaza
sana wakazi wa eneo hilo baada ya kukuta maiti ya Punda aliyedaiwa
kubakwa mPaka kufa na watu wanne wenye njaa ya ngono.
Tukio
hilo lilitokea usiku wa manane karibu na kanisa, amapo watu wa eneo
hilo la Kamahuha walikimbia kwenye kituo cha polisi na kutoa taarifa juu
ya kitendo hicho kilichofanywa na wanaume wanne walionekana usiku huo
wakiwa
wamemning'iniza punda huyo juu ya mti na kuanza kumfanyia kitendo hicho cha ajabu.
wamemning'iniza punda huyo juu ya mti na kuanza kumfanyia kitendo hicho cha ajabu.
Pia walikuta kondomu zilizotumika karibu na maiti ya Punda huyo huku akiwa amefungwa miguu yote ya nyuma.
Viongozi
wa eneo hilo la Maragua wamelaani sana kwa kitendo hicho ambacho
wamekiita ni cha Kishetani, pia wamedai wamekuwa wakiwaita wakazi wa
eneo hilo na kuwasihi waachane na matendo hayo machafu ambayo mengi
upelekewa na utumiaji wa pombe na madawa ya kulevya.
No comments:
Post a Comment