facebook likes

Thursday, July 25, 2013

Dunia nzima mgongoni mwake!

image
Huyu jamaa amejichora tatoo ya ramani ya dunia nzima mgongoni kwake na nchi ambazo ramani yake inaonekana kukolea rangi ndio nchi amewahi kutembelea, ukiangalia kwa makini utaona ramani ya Tanzania ndio ramani pekee ambayo rangi yake imekolezwa ndani ya bara la Afrika, alishawahi kuitembelea.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...