facebook likes

Thursday, July 25, 2013

Ajali ya Treni iliyotokea Hispania July 24 2013



Watu 20 wamepoteza maisha
Treni iendayo mwendo kasi imepata ajali huko northwestern Hispania ambapo inaaminika watu 20 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa kati ya abiria 200 waliokua wakisafiri nayo.
Moja ya mabehewa limeonekana likiwa linawaka moto na jingine kukatika katikati kwenye eneo la ajali hiyo karibu na Santiago de Compostela ambapo ilikua ikisafiri kuelekea Ferrol northwest Spain.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...