facebook likes

Saturday, August 3, 2013

Video:Flaviana Matata na model Ajak (Sudan) wakicheza style ya "Bila kukunja goti"




Flaviana Matata ni mmoja kati ya marafiki wakubwa wa Mwana FA na AY na video hii inamuonyesha akiwa na Model mwenzake kutoka Sudan Ajak wakicheza style ya "Bila kukunja goti" ikiwa ni style inayotarajiwa kuwepo katika video ya wimbo wa AY, FA na Jay Martin (Nigeria) "Bila kukunja goti".

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...