Hii ndiyo Post ya kwanza ya Nando kwa mashabiki wake kupitia instagram

Kupitia mtandao wa instagram, mida ya saa tano usiku, kwa mara ya kwanza
tangu alipoingia katika jumba la Big Brother,aliekuwa mshiriki wa BBA
Nando,ambae anatumia "apple_juice07 katika acc yake, amepost picha yake
na feza na kuwashukuru wale wote ambao mashabiki wake a.k.a #teamNando
No comments:
Post a Comment