facebook likes

Saturday, August 3, 2013

JK AKUTANA NA MWANZILISHI WA IYF PASTOR PARK OCK SOO

Rais Jakaya Kikwete akidadisi jambo kutoka Mwanzilishi wa Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo kwa Vijana (IYF) na mtunzi wa kitabu cha "Wewe ni nani unayeniburuta" Pastor Pastor Park Ock Soo. Kitabu hicho chenye maudhui ya kumsaidia kijana kujitambua ambacho kimeandikwa na Pastor huyo na kutafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili alipomtembelea Ikulu  jijini Dar es Salaam.
PIX10 83227
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo ya Vijana (IYF) walioambatana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...