facebook likes

Saturday, August 3, 2013

Picha: Army Nando akiwa na mama yake mzazi LA, Califonia baada ya kutolewa katika mashindano ya BBA

Baada ya kutolewa katika mashindano ya BBA 2013,kwa kukiuka sheria za Biggie na kukutwa na kisu, mkasi pamoja na maneno ya vitisho dhidi ya mshiriki kutoka Ghana (Elikem), Army Nando ameshatua LA, Califonia, na kukutana na mama yake mzazi "Nancy Assenga" ambae pia ni meneja wake pamoja na mkurugenzi wa Swahili TV "Alex Kasuwi"


Nando akiwa na mama yake mzazi



kutoka kushoto ni Mayor wa LA, Deo Temba, Army Nando, Nancy Assenga (Mama mzazi na manager wake) pamoja na mkurugenzi mtendaji wa Swahili TV Bwana Alex Kassuwi

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...