
Director mkali kwenye movie industry “James Camerom” ametangaza kwamba kutakuwa na avatar 2, 3 na 4.
James Cameron amejivulia umaarufu mkubwa kenye soko la movie baada ya kufanya blockbuster kama Titanic na Avatar.
Avatar 2 inatarajiwa kutoka December 2016, wakati Avatar 3 itatoka December 2017 na Avatar 4 itatoka December 2018.
Avatar ndio movie inayoongoza kwa kuingiza hela nyingi na kufikia $2.8 billion gross.
hii ndio official trailer ya Avatar 1
No comments:
Post a Comment