Snura anadai kuwa watayarishaji walimuona na kumwita katika usahili aliposhinda alipewa muswada (Script) na kuigiza kama mhusika mkuu ambaye aliigiza kwa umahiri mkubwa filamu ya Tandeka imetumia lugha mbalimbali ikiwa Kiswahili, Kizulu na Kiingereza, Snura ni msanii mwigizaji wa filamu aliyetokea katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu.
News, Events, Entertainment, Sports, Lifestyle, Fashion,politics, Beauty, Inspiration and yes... Gossip!
facebook likes
Friday, July 5, 2013
SNURA MUSHI AZIDI KUNG'ARA
Snura anadai kuwa watayarishaji walimuona na kumwita katika usahili aliposhinda alipewa muswada (Script) na kuigiza kama mhusika mkuu ambaye aliigiza kwa umahiri mkubwa filamu ya Tandeka imetumia lugha mbalimbali ikiwa Kiswahili, Kizulu na Kiingereza, Snura ni msanii mwigizaji wa filamu aliyetokea katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment