facebook likes

Friday, July 5, 2013

MAUZO YA ALBUM YA KANYE WEST ‘YEEZUS’ YAPOROMOKA KWA KASI.


Mauzo ya album ya Kanye West ‘Yeezus’ yameshuka kwa asilimia themanini (80%) wiki ya pili tangu album hiyo ilipoingizwa sokoni.
Wakati Album ya mzee Kanye ikiwa inafanya vibaya, The Gifted ambayo ni album ya Wale imeshika nafasi ya kwanza kwa kuuza jumla ya nakala 158,000 according to Nielsen SoundScan.
Album ya Kanye West iliuza jumla ya nakala 327,000 wiki ya kwanza, wakati week ya pili iliuza jumla ya nakala 65,000.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...