PATRICK WA KANUMBA ALIVYOFANYIWA NA RIYAMA KWENYE MOVIE YA MWEZI WA RAMADHAN
Kwenye moja ya scene ya movie mpya inayoandaliwa na Batuli kuhusu
mwezi wa Ramadhan, utakuja kuipenda sana scene hii jinsi Riyama
alivyomtenda vibaya patrick kwa kumwagia unga usoni akiwa anatoka
kununua vitu kwa ajili ya kupeleka nyumbani kuandaa futali. Movie hiyo
ambayo imemshirikisha na Swebe Santana ambaye kwa muda mrefu amekuwa nje
ya bongomovie,kuna Barafu ndani humo na bila kumsahau batuli mwenyewe. More photos
No comments:
Post a Comment