facebook likes

Saturday, July 27, 2013

KILA LA KHERI TAIFA STARS USHINDI LEO LAZIMA


011-1
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Satrs’ ambao wanasakata kabumbu ndani ya nchi wakijifua katika Uwanja wa Taifa wa Mandela uliopo Nambale nchini Uganda. Stars ipo nchini Uganda na inatarajia kushuka katika dimba la uwanja huo kumenyana na The Cranes ya Uganda Jumamosi kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa Ndani CHAN kila la kheri Stars.Katika mchezo wa kwanza uliofanyika Daressalaam Stars walifungwa bao 1-0.
005-1
015-2
016-2

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...