waziri
wa elimu Mh.shukuru Kawambwa amewasilisha mtaala halisi wa elimu wa mwaka
2005 hapa nchini ambao umegawanyika katika sehemu tatu.
1.mtaala wa elimu ya chekechea
2.mtaala wa elimu ya msingi
3.mtaala wa elimu ya sekondari.
mtaala huo unaenda kukaguliwa na kuthibitishwa na timu ya wabunge
wakiwemo Mbatia,Magret Sitta na wabunge wengine waliobobea katika
masuala ya elimu.
Ikumbukwe kuwa Mbatia ambaye ni mbunge wa kuteuliwa na rais aliapa kuwa
endapo serikali itawasilisha mtaala huo bungeni yeye ataijuzulu ubunge
wake.
MY TAKE; MBATIA ATAJIUZULU UBUNGE????
No comments:
Post a Comment