facebook likes

Wednesday, February 6, 2013

PICHA 6 ZA UTHIBITISHO WA MWIMBAJI TIWA SAVAGE KUVISHWA PETE YA UCHUMBA

Info kutoka Naija ni kwamba staa wa muziki Afrika Mnigeria Tiwa Savage amevishwa pete ya uchumba na meneja wake aitwae Tee Billz ambae wamekua kwenye mapenzi mazito kwa kipindi kirefu lakini kwa kufichaficha.
Tee Billz amemvisha Tiwa Savage pete hiyo ya uchumba wakati staa huyo wa kike akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo taarifa za kuaminika ni kwamba wawili hao wanampango wa kuona kabla ya mwisho wa mwaka huu.





No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...