Nakumbuka single yake ya Valuvalu ni moja ya single zake kabla ya hii ambazo zilipata kibali sana Afrika Mashariki baada ya kuitumia lugha ya kiswahili ndani yake, mabibi na mabwana ninayofuraha kuwaletea video mpya ya Jose Chameleone ya wimbo unaitwa ‘Badilisha’ !!! itazame hapa chini
No comments:
Post a Comment