facebook likes

Sunday, August 11, 2013

DIAMOND PLATINUM KWELI KWA SASA ANATISHAAA....HILI NDO BALAA LA DIAMOND PLATINUM ALILOLIFANYA JANA MOMBASA KENYA




Diamond baada ya kuwasili Kenya alipokelewa kwenye gari hili
....SOMA NA ANGALIA PICHA ZAIDI....

Diamond Platinumz ambaye sikukuu ya Idd alifanya show ndani ya Mombasa, unaambiwa ticket zote za show hiyo ziliisha kabla hata muda wa show haujafika. Habari kutoka kwa Hudda Monroe ambaye pia yupo Mombasa kwa ajili ya show,amesema kwamba ticket za kuingia KICC grounds kuona show ya Diamond are sold out. Big up to Diamond na crew nzima iliyondaa show hii.

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...