facebook likes

Sunday, August 11, 2013

VIDEO YA DIAMOND-"PETE NA CHENI NILIZO VAA ZINATHAMANI YA SH......"


Akihojiwa juzi kwenye kipindi cha The Trend cha NTV, mtangazaji wa show hiyo Larry Madowo aliuliza thamani ya bling alizokuwa amevaa.
...SOMA ZAIDI.....

“It’s a bit expensive,” alijibu Diamond huku akizishika bling hizo.
“Kama hii na hii it’s about dola 2000 something au 1,500, hii peke yake dola 2,000.”

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...