“Mimi sina stress na
game, kwanza mimi nina jina kubwa sana nina makampuni ya mbao Mambas Timber,
huko mwanza, Mambas Entertainment na hii Mambas Pub nasonga mbele na maisha.
Kwahiyo ningekuwa na stress ningekuwa kama hawa wasanii wenye stress ambao
wanakunywa pombe, bangi na mwishowe wanakula madawa, unatakiwa
uongee na Mungu akupe matumaini,” alisema.
Amesema pia kuwa yeye ni professional kwenye uchoraji ramani za majengo na fundi.
“Nimejenga majumba mengi kwhaiyo nafanya mengi naweza kuwaajili baadhi ya wasanii ambao wamechoka na maisha.”
Amesema pia kuwa yeye ni professional kwenye uchoraji ramani za majengo na fundi.
“Nimejenga majumba mengi kwhaiyo nafanya mengi naweza kuwaajili baadhi ya wasanii ambao wamechoka na maisha.”
source:bongo5
No comments:
Post a Comment