facebook likes

Wednesday, August 7, 2013

OMMY NAYE AKWAMA KUFANYA SHOW BUJUMBURA SABABU YA KUUNGUA KWA KIWANJA CHA NDEGE CHA KENYA...!!


 Ommy Dimpoz ameshindwa kuingia leo mjini Bunjumbura kwasababu ya kuungua kwa kiwanja cha ndege cha Jomo Kenyata,.....
...soma zaidi....
 Ndege iliyotakiwa kumchukua Ommy ilikwama uwanja wa ndege Wa Jomo Kenyata, Ommy Dimpoz alikuwa na show siku ya Eid ambayo leo asubuhi alitakiwa awe ameingia Bujumbura kwa maandalizi ya Show, Chanzo chetu cha habari kimesema Ommy itabidi aondoke leo kwenda mjini Kampala alafu ndipo aondoke aende Bujumbura, Show ya Ommy Haitaingiaa katika Dosali yeyote ile na show ipo pale pale
 

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...