facebook likes

Wednesday, August 7, 2013

MWINYI KAZIMOTO AKUTANA NA GWIJI LA SOKA RAUL WA REAL MADRID HUKO MAJUU WAKI WAZOEZINI

Kiungo wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba Mwinyi Kazimoto akiwa na Gwiji wa soka wa Hispania na Real Madrid Raul Gonzalez....
SOMA ZAIDI..

 huko Qatar alipokuwa ameenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa. Mtandao huu umepata nafasi ya kuongea na Kazimoto na kwa kifupi ameomba radhi kwa kutoroka - pia amesema amefanikiwa kupata timu huko alipo. Je ungependa kujua Simba imelipwa shilingi ngapi kwenye uhamisho huu wa Kazimoto???? - Endelea kutembelea mtandao huu.
picha kwa hisani ya shaffih dauda.


No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...