facebook likes

Wednesday, August 7, 2013

TV SHOW YA IRENE UWOYA! KUMBE NA MASTAA WAKUBWA WA BONGO WANAHUSIKA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA
“Nafurahi kuona jinsi  kioo cha jamii hivi sasa kimeigusa familia kabisa,..
ukizungumzia nyumba unagusa swala la familia ambalo ndiyo msingi wa Taifa lolote.” Haya yalikuwa ni baadhi ya maneno ya Mtitu, mmoja kati ya watu maarufu ambao walihusika kwenye show ya Irene Uwoya. Katika harakati za kutengeneza kipindi chake, Irene amekutana na mastaa tofauti na kuzungumza nao mambo mengi ambayo yatakuwa kwenye show yake. Chukua time yako ya kuona jinsi ilivyokuwa na upate sababu nyingine ya kuangalia hii show kupitia @CloudsTV na pia unaweza kucheki promo yake hapo pembeni.


Mtitu wa 5effects
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
ay

Ambwene Yesaya na Irene
jb

Jacob Steven “JB” kahusika kwenye show
ngaza

Mrisho Ngassa yupo kwenye show
nyerere

Steve Nyerere naye ndani

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...