|
|
|
|
|
|
|
HIKI KIHAA NDICHO KINAWEKWA KATIKA MLANGO ILI PINDI UFIKAPO
KARIBU NA MLANGO SIMU YAKO KUPITIA BLUETOOTH IWEZE KUWASILIANA NA HIKI KIFAA
|
HII TECHNOLOJIA SASA KIBOKO...SIMU KUTUMIKA KUFUNGUA MLANGO BADALA YA KUTUMIA FUNGUO
| HII NI APPLICATION YA SIMU IITWAYO KWIKSET AMBAYO HUWEKWA KATIKA SIMU KAMA UNAVYO IYONA KATIKA PICHA HII YA JUU,KWA SASA HII APPLICATION IMEWEKWA KATIKA SIMU ZA IPHONE PEKEE |
| PIA PINDI UNUNUAPO HUPEWA NA FUNGUO ZAKE IKITOKEA UMEPOTEZA SIMU FUNGUO ZITAKUSAIDIA |
| HIKI KIHAA NDICHO KINAWEKWA KATIKA MLANGO ILI PINDI UFIKAPO KARIBU NA MLANGO SIMU YAKO KUPITIA BLUETOOTH IWEZE KUWASILIANA NA HIKI KIFAA |
No comments:
Post a Comment