facebook likes

Wednesday, August 7, 2013

HII KALI...HIZI NDIZO AINA MBALI MBALI ZA VITAMBI

AINA ZA VITAMBI
1. Kitambi Mvurugo -- hiki.......

kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.

2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa.

3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi kinaisha.

4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo.

5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.

6. Kitambi Mtunguo: Hiki wanacho sana wadada. Kina umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu.

HII KALI...HIZI NDIZO AINA MBALI MBALI ZA VITAMBI

AINA ZA VITAMBI
1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.
2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa.
3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi kinaisha.
4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana

hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo.

- See more at: http://www.thechoicetz.com/2013/08/hii-kalihizi-ndizo-aina-mbali-mbali-za.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+blogspot%2FGDSbw+%28TheCHOICE%29#sthash.hGhdAItc.dpuf

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...