facebook likes

Monday, July 29, 2013

NEYMAR AFANYIWA VIPIMO LEO BARCA TAYARI KUANZA KAZI CAMP NOU


MCHEZAJI aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 50, Neymar amefanyiwa vipimo vya afya mjini Barcelona tayari kwa mazoezi yake ya kwanza na klabu yake hiyo mpya.
Barcelona itawapokea tena wachezaji wote waliokuwa kwenye Kombe la Mabara leo mcha, na Neymar atakuwa miongoni mwao pamoja na akina Xavi, Andres Iniesta, Cesc Fabregas na Lionel Messi.
Itakuwa nafasi yake ya kwanza kujaribu kuwavutia wachezaji wenzake wapya baada ya kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili ghali katika klabu hiyo nyuma ya Zlatan Ibrahimovic aliyesajiliwa mwaka 2009 kwa Pauni Milioni 56.


Gerardo Martino alianza kazi ya kukinoa kikosi
Neymar alikwenda Barcelona Juni kwa ajili ya kutambulishwa tu

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...