facebook likes

Monday, July 29, 2013

DAVIS MOSHA ATUA VOA


???????????????????????????????Kushoto ni Raymond balozi wa vijana wa Tanzania kwenye jumuiya ya Afrika mashariki akiwa na Edgar Mosha mwanafunzi Mtanzania aliyekuwa Uingereza kufanya majaribio na Academy ya klabu ya Chelsea akiwa na baba yake David Mosha “The C.E.O” aliyewahi kuwa makamu mkiti klabu ya Yanga ndani ya studio za VOA Washington Dc ikiwa ni sehemu ya ziara yake nchini Marekani . Kaa tayari tutakuletea mahojiano yake kamili na VOA siku chache zijazo kaa stanby.
The BossKulia ni mkuu wa idhaa ya Kiswahili akiwa na Davis Mosha , Edgar na Julieth Luangissa katika ofisi za VOA.
groupKushoto Julieth Luangisa, Alex Kassuwi, Edgar na baba yake Davis Mosha.
The Boss3Davis Mosha akifanya mahojiano na VOA.
EDSEdgar, baba yake Davis Mosha tukiwa nje ya mjengo wa VOA.
photo
wavis Mosha na mwanaye Edgar wakiwa jengo jeupe White house.

Kwa picha zaidi bofya 
Edgar daddy
Edgar
photo

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...