Sikiliza hapa ngoma mpya ya “Prince Dully Sykies” inayotegemewa kufanya vizuri.

Kutoka kwenye studio yake mwenye maarufu kama Studio 4.12, Prince Dully
Sykies amekuletea ngoma yake mpya ambayo ina-sound as the hit track kama
ngoma zake bongoflava,biberion na nyingine. Chukua dakika zako 3 na
sekunde 51 kusikiliza hii ngoma inaitwa Joka ft Kim.
No comments:
Post a Comment