facebook likes

Wednesday, July 24, 2013

Mwezi mtukufu wa Ramadhan: Tunda Man aachia Qaswida

TUkiwa ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhan, msanii kutoka Tiptop Connection ametengeNEza wimbo aina ya Qaswida (wa dini ya kiislam). Ingawa sijausikia bado, lakini Tunda amethibitisha kuwa Anao na kutoa fursa kwa yoyote anae uhitaji kumtumia email yake au kwa kutumia whatsapp kwa mwenye namba zake za simu.


No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...