facebook likes

Wednesday, July 24, 2013

BBA Update: Nando (TZ) amchana Annabel (Kenya) ‘Hata Afrika imechoka kukuokoa muda wote... Play the game now’


Mshiriki anayeiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother linaloendelea huko South Africa, Nando ameamua kumtolea uvivu mshiriki wa Kenya, Annabel kutokana kuwa nominated mara kwa mara.
Nando alimwambia Annabel, “Even Africa gets tired of saving your ass all the time. Play the game now,” bila kumuonea haya. Nando alitumia usiku wake kumpa ushauri Annabel juu ya afanyeje ili aweze kuingia top five of The Chase.
“You already know where you stand with people. The people that you feel Nominated you; go to them and make a deal,” Nando alimshauri mdada huyo wa Kenya.

Annabel amekuwa na wasiwasi sana, akihofia kwamba anaweza kutolewa kwenye eviction show ijayo. Anaamini wenzake ambao wapo kwenye possible eviction ambao ni Sulu na Eliekim watabaki.
Annabel pia alijitetea kwa Nando na kumwambia, “We are all walking on thin ice,”

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...