facebook likes

Showing posts with label SOCCER. Show all posts
Showing posts with label SOCCER. Show all posts

Tuesday, April 22, 2014

Saturday, October 19, 2013

EDO KUMWEMBE AJIUZULU RASMI USEMAJI WA COASTAL UNION.


'' KAMA RIHANNA AKINITAKA SIWEZI KUMKATAA''- DANIEL STURRIDGE


Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Daniel Sturridge amefichua hisia zake kwa nyota wa muziki wa Pop Rihanna . Katika Interview moja aliyoifanya kwenye jarida la rapa wa marekani Jay Z, Sturridge alizungumzia usajili wake toka Chelsea kwenda Liverpool na pia maisha yake ya Mapenzi na zaidi alizungumza kumhusu Rihanna . Soma maneno yake hapa.....

HARUNA NIYONZIMA AZIONA FURSA ZA KIBIASHARA!


Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ameanza rasmi kuziona fursa za kibiashara zilizopo hapa nchini katika sekta ya michezo.
Kwa kuanza kiungo huyo amefyatua T-SHIRT kibao ambazo zitaingia rasmi sokoni siku ya Juma pili kwenye mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga.
Meneja wa mchezaji huyo Imamu Abbas ameuambia mtandao huu kuwa bei ya T-SHIRT hizo ni shilingi za Kitanzania 20,000/=
SOMA ZAIDI........

PELE AZINDUA KITABU CHAKE NA KUKIUZA KIASI CHA DOLLA $1700


Mwanasoka bora kutoka pande za Brazil mwenye umri wa miaka 72 Pele amezindua kitabu chake kinachoitwa Pele ambacho kinauzwa kwa kiasi cha dolla za kimarekani 1700. Kitabu hicho chenye uzito wa 33 pounds kimechapishwa jumla ya nakala 1283.
SOMA ZAIDI........

Saturday, October 12, 2013

PHOTOS: Samuel Eto’o Acquires 4 New Multimillion Cars Worth over £1.55Million

Samuel Eto’o has made good use of his bumper salary by amassing a fleet of cars worth £4million
The pick of the Chelsea FC striker’s fleet is the £1.55m Bugatti Veyron which was specially delivered along with three other vehicles to the London club’s training ground after his move from Russian club Anzhi this summer.

Thursday, October 10, 2013

Victor Moses Becomes Globacom’s Sports Ambassador

The Nigerian footballer who also plays for Liverpool is now a Glo ambassador. This was made known to the public on Tuesday. Big congrats to him.

HENRY JOSEPH ALETA UTATA SIMBA


Henry Joseph 
KIUNGO wa Simba, Henry Joseph, ameondolewa katika kambi ya Simba huku Ramadhan Chombo ‘Redondo’ akirudishwa kikosi cha pili.
SOMA ZAIDI.......

Wednesday, October 9, 2013

Ronaldo sasa azama katika penzi la DJ

 RIO DE JANEIRO, BRAZIL
HAJAWAHI kukosea ndani na nje ya uwanja. Baada ya penzi lake la mkewe, Bia Anthony, kufa Desemba mwaka jana, mkongwe wa soka nchini Brazil, Ronaldo de Lima, ameibuka kivingine kabisa.
SOMA ZAIDI.........

GARI YA BILIONEA ANAYEMILIKI MANCHESTER CITY YAONEKANA DAR, ANAIMILIKI YUSSUF BAKHRESA

Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000.
ANGALIA PICHA ZAIDI......

Wanasoka wanaojirusha na watoto wa mabosi wao

Staa huyu wa kimataifa wa Brazil hakuogopa kugonga mlango wa nyumba ya bosi wake mmiliki wa klabu ya AC Milan ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi na kuomba namba ya simu ya binti yake, Barbara Berlusconi ambaye pia ni mmoja kati ya wanabodi wa AC Milan. 
SOMA ZAIDI.....

Tuesday, October 8, 2013

VIWANJA VYA BEI NAFUU KIGAMBONI. ELFU 19 KWA SQUARE METER.#0713651858.#

Viwanja vinauzwa vipo kigamboni, Mikwambe. Kuna viwanja nyenye square meter 887, sqm 850, sqm 846, sqm 843, sqm 849, sqm 842, sqm 853, sqm 845, sqm 842, sqm 841, sqm 804, sqm 800. Viwanja vinauzwa million kumi na sita.

SOMA ZAIDI MAELEZO HAPA CHINI................

Monday, September 30, 2013

Rafiki Mpya Wa Davido, Footballer Samuel Eto'o, Picha Iko Hapa

Urafiki wa stars wa muziki na Michezo unazidi kuwa mkubwa, Hivi karibuni tuliona picha ya Rapper Drake akiwa na Man Untd star Nani, Leo nakupa hii mpya Ni Star Davido na Samuel Eto'o.
SOMA ZAIDI....

Saturday, September 28, 2013

RONALDO ATESA NA SAA LA ALMASI LA PAUNI 100,000

Ronaldo PICHA ni kla kitu kwa 'Mfalme wa Bling' Cristiano Ronaldo ambaye amepigwa picha akiwa na saa ya madini ya Almasi.
SOMA ZAIDI...

Friday, September 27, 2013

LEWANDOWSKI NI KAMA TAYARI AMEKWISHATUA BAYERN, MWENYEWE ASEMA ANAHAMIA BAVARIA JANUARI

Goneski: Robert Lewandowski has confirmed his 2014 move from Borussia Dortmund to Bayern Munich
MSHAMBULIAJI wa Borussia Dortmund, Robert Lewandowski hatimaye amethibitisha atasaini kama mchezaji huru kujiunga na wapinzani, Bayern Munich ifikapo Januari na kuhamia Bavaria Mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu.  
SOMA ZAIDI....

Sunday, September 22, 2013

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...