facebook likes

Wednesday, August 21, 2013

WEMA KUWATAMBULISHA WASANII WAKE BILICANAS JUMAPILI HII

Wema sepetu akiwa na kampuni yake ya endless fame production anatarajiwa kufanya uzinduzi wa single za wasanii wenzake mirror na asali ndani ya ukumbi wa billcanas jijini dar es salam
mirror na asali wanatarajia kuzindua njimbo zao mpya baby na mzuri
IMG-20130820-WA0001 
uzinduzi huo utasindikizwa na wasanii kibao kama barnaba,nyandu tozi,linex,country boy,m2the p,bonge la nyau,h.baba,hemed p.h.g,dogo janja,maufundi na mabeste
IMG-20130820-WA0006IMG-20130820-WA0003 

No comments:

COMMENTS

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...